Pages

Ads 468x60px

Monday, July 7, 2014

MUONEKANO................

 Mpo poua eeeeh wapenzi wangu???? Mimi mwenzenu mambo mengi mnooo kichwani, si mnajua mwisho wa mwaka wa mahesabu tayari ????? paper work kibao mweeee... ninachomshukuru Mungu ninafanya huku naenjoy, yaani i love everything!!!! kujifunza kwingi,makosa ndo usiseme nahisi leo nimemkera hadi accountant wangu  kwi! kwi! kwi! ye anataka ajifanyie kazi yake kwa nafasi, mi nimekaza nataka kumsaidia ili nijifunze hata kama ananichaji same amount.......... hizo simu nilizompigia leo nahisi alikuwa akiona namba yangu anatamani kunikatia ha! ha! ha! ha!

Kitu kingine kilichonichanganya nilikuwa sijaanda group certificate za wafanyakazi, mwisho wa wiki jana  nilipigiwa simu karibu nne wote wanataka certificate zao ili waclaim tax, weee walinipanikishaje!!! nikajua nimechelewesha na ushamba wangu....... ninavyoiogopa hii serikali mmmmh!!! nikahisi ntakuja kufungiwa biashara kwakutowatendea wafanyakazi haki yao, Leo nimeongea na accountant kanitiaje moyo........ kumbe kisheria bado nina karibu mwezi mzima kuziandaa, japo i know kuna watu wameninunia huko hatari............... 


PATA MUONEKANO

 Aliniambia anataka kunifundisha mapozi haya ndo nafundishwa hapo........
Muonekano huu ulikuwa unaelekea play ground kulikuwa nakajishughuli fulani................ (happy moment)
 Muke wa nani huyu????
 hizi kajagio ninazo km nne sasa huwa namkumbuka sana marehemu Bibi yangu nikivivaa, alikuwa navyo vyakidizani,alikuwa mfupi fulani plus matege anavyotembea sasa utampendaje????RIP my Bibi wa mimi Mama wa Mama yangu......
Heading...........

No comments:

Post a Comment