Pages

Ads 468x60px

Tuesday, July 8, 2014

CONFERENCE 2014

Haya wapendwa wangu wa pande hizo hii siyakukosa!!!! Namkubali sana huyu Mtumishi .............yaani ni one of my best huwa napenda sana anavyonipa neno na kunirudisha jinsi gani linaendana na maisha............. wanaomjua mtakubaliana na mimi.



1 comments:

  1. Mwl Mwakasege ni mwalimu hasa hata uwe na kichwa kigumu vipi kuelewa kwake lazima utaelewa tu.

    Napenda mikutano yake kwa kua kila nikienda natoka na uelewa zaidi wa neno la Mungu.

    maisha yangu ya leo namshukuru Mungu ninepokea tokana na neno kupitia kwa mtumishi huyu.

    Mungu azidi kukubariki Mwalimu.

    ReplyDelete