Pages

Ads 468x60px

Monday, July 21, 2014

WITH MY BEST FRIEND................

You all know Am married to my best friend si eti eeh!!!! halafu niwambie kitu lkuna muda tunazinguana mnoooooooo!!! kawaida sana coz we are not fake to each other na niwatu wawili ambao no matter what hamuwezi kuwa sawa 100%  lakini mwisho wa siku we all admit hakunaga........(NI KWA NEEMA!!!)
 Baba na Mama wa my wawili............



tumo na sisi kwa mapozi kwi! kwi! kwi! kweli uzee mawazo mwee!!


spotted!!


aliyetupiga picha ana walakini mmeona eeeh!!

Jamani mwenzenu ubusy!!! nimeona nipite tuu ni wambie nawapenda mnoooo

2 comments: