Pages

Ads 468x60px

Thursday, July 3, 2014

NIGHT OUT............

I Thank God for you ladies, You just don't know ,how much you add in my life ............ I know! sometimes am crazy........ kwi! kwi! kwi!  but, you still love me as i am......( I love you Rose Mbeyela,  i see God working in you in your craziest style.......................... in ma mfundisi voice)  to me working in you means,  Am not perfect, my today's spiritual life is not same as yesterday and I still need to draw closer, and closer, and closer ......... Wow! you are so Truly to me, that is all i need........... 

 What a blessing??????

 As for you all, who we Hang out most of the time,I just wanna say i love you all and Thank you...............its only  that, i had to pick one group from my big Camera and this is what i found!!!

By saying that please allow me to gossip with my people back home (kwi! kwi! kwi! swahili dictionary to English is available on google) 

 Haya Wandugu, mwenzenu nimetoka kwenye kikao fulani  fulani.......  yaani kila mwezi ninavikao na watu tofauti tofauti, sio vyakubeba mabox it is about good time and share.............nimejikuta namtukuza Mungu sana kwa jinsi alivyonipa watu wa dizaini tofauti tofauti na jinsi wanavyotumika kwa ajili ya maisha yangu aisee..... kikao cha leo hakikuwa cha hawa mnaowaona....... baada ya mawazo haya nimeona nije nimtukuze Mungu kwa kutafuta picha za one of my groups, kumwambia Mungu ahsante!!!!! Wanadam tunahitajiana aiseee, inategemeana lakini, usijekurupuka maana hata shetani anakuhitaji!!! Cha kweli kinakuja na amani na utulivu, hutumii nguvu zako nyingiiii ila ni kitu ambacho you cant wait maana unaamini kila kinapotokea unajengeka. Kama hii ya leo nasikitika tutachukua break kwa muda kidogo maana baadhi wanaenda holiday. Ninachotaka kuwatia moyo msifikiri Duniani kuwa watu wabaya tuuu, aise God has people bwana duuu!!!!  na anawatumia vizuri sana katika kujenga ufalme wake............sijui nikwambiaje ntarudi tena katika hili kwa namna nyingine kama Mungu atatupa kibali yakulizungumzia..................

Hii week Mungu anasema na mimi mnoo kwa habari ya watu.


Pat & Magreth

 Melody & Joyce
Team
the joy in them..........
 we do both........ the story behind ( kwi! kwi! kwi!)



                                     Thank you,Waita zvako,Ndinokuda ladies.

2 comments:

  1. Me sijaelewa Rose. Njoo tena na hii habari kwa uzuri zaidi nasi tubarikiwe

    ReplyDelete
  2. Tumsifu yesu kristo jamani zamani nilikuwa naona kama machizi mkiongea kuhusu uokovu nilikuwa muislam yee nina kama 4months tangia nimeokoka ni raha jamani na nimejifunza mengi sana jamani enendeni kwenye kanisa za uokovu mimi nimefunguliwa sana

    ReplyDelete