Pages

Ads 468x60px

Thursday, February 18, 2016

ONJA.............

Sio kwa ubusy huu........ Siku zinavyozidi kwenda bora ya jana aiseee ha!ha!ha! hasa kwenye masuala ya kublogua......... Ratiba yangu imekuwa tite kidogo.....  baada ya mabox hawa wanenu sasa wamekuwa aisee home work ninazozipata ni balaa......   natumia saa moja na nusu kuhakikisha tumemaliza wakati huo huo lazima nihakikishe wamekula na maandalizi ya asubuhi inayofuata.......   huku kwetu Bwana kila kitu kinakuangalia wewe. But am loving it aisee.......... na muda wa kulala nimegoma ile biashara yakumuacha Baba watoto wangu aende kulala eti mi napiga umbea bloguni mnikomeeeee nimegoma ha!ha!ha!  kwa $$$ ngapi mnazo nilipa???  Ha!ha!ha! hata kama natumikia wito unanafasi yake bwana.........asikwambie mtu kuanza safari ya usingizi pamoja na ubavu  ina raha yake bwana hasa baada ya maombi ya usiku km familia ha!ha!ha! (kitchen party hiyo). 

 Haya muonje hii basi mama Shughuli alialikwa shughulini ha!ha!ha! aka Bby shower



tuliita high tea wenyewe....

basi tuu fujo zetu ili kupendezesha siku ha!ha!ha!
 jamani hata niweke majina humu mnawafahamu??? nyie onjeni tuu ha!ha!ha!

 Jamani mlengwa huyo mwenye nyeupe bwana siakajifungua asubuhi wenzie tunajiandaa kumsherekea ha!ha!ha! akaona isiwe tabu mabest natoroka hospital nakuja  hata kwa masaa mawili ha!ha!ha! mi simo jamani  lakini siku ilienda ila mtoto alibaki na manesi hiyo ndo raha ya ulaya  mtajiju ha!ha!ha! inaitwa hapa kazi tuu



nawapenda nakuja kuzungumza soon ngoja nijipange

1 comments:

  1. Ha ha ha ha ha, ila nakubaliana na wewe, mf. Zamani huo utaratibu wakufanya Sala jioni kwa pamoja Kwangu haukuwepo, kuna siku tulikaa na mume Wangu tukauanzisha, basi tangu siku hiyo amani tupu nyumbani mwetu! Mwenzio TV hasa vile vipindi vya usiku ilikua ugonjwa Wangu hasa TLC uwiii usiku wanakua interesting programs basi ilikua ni full kumuacha Mr akalale halafu mimi na follow Mwee eh, nilvyogundua ni tatizo niliacha kabisa, saivi ni mwendo wa mahaba tu, hahaha!! It my seem as a stupid thing ila imenisaidia Sana!! Hongera rose kwa kufanya wajibu wako vyema japo ndo hivyo uhondo humu ndani tunaupata kwa Machale, lol!!

    ReplyDelete