Pages

Ads 468x60px

Wednesday, February 10, 2016

MAMA NA BINTI YAKE...............

kama ni urithi wakupenda picha baasiii Dada kubwa kashajichukulia ha!ha!ha!

Asione Camera hakupigi picha mpaka uanze nae .............

happy her.......

na Mama ake mwenyewe anasogea tuu kidoo ananifikia mabegani ha!ha!ha!
Usiombe unapiga picha huku unambembeleza anayekupiga picha majibu ndo hao sura haileweki unataka kuongea, umenuna ,au hahaha!


nawapenda

2 comments:

  1. Mama waili sifa nakupa ulipendeza aiseee, sijui ndo nimeipenda tu hiyo sketi ilivyokukaa vyema, nawmona model hapo juu ha ha ha nahisi nikikutana naye mimi huyo ngoma droo kwa picha.

    ReplyDelete
  2. Umependeza mamy nguo ndefu zinakutoa sana! hongera kwa kukuza

    ReplyDelete