Pages

Ads 468x60px

Tuesday, August 13, 2013

WAWILI'S TIME

Safari yetu ndio hiyo imeanza leo tumeamua kujipigisha picha nje ya  nyumba  na wanangu sasa ukiwatoa nje wanavyokuwa  na fujo  na sifa za Mama yao mbona Camera iliwapata........
my wawili.......sina lakuongea ila JINA LA BWANA LIBARIKIWE!!!!


SI KWA UWEZA WALA AKILI ZANGU
SIKUSTAHILI LAKINI ULINIPENDA, UKANIKUMBATIA NA KUNITETEA......
aiseeeee!!!! ACHENI MUNGU AITWE MUNGU.......

dada utamjua tuu
na mdogo mtu kudekaje sasa????
wanaitwa Careen na mdogo wake Cristabell a.k.a Wawili
tunakoenda tunakujua wenyewe... leo hatuna car seat aisee na mawazo police wakinikamata nitawajibika haswa bila kumlaumu mtu maana nimeamua kuvunja sheria kwa hiari.......
wenyewe wamefurahi leo no car seat....... kweli mtoto ni mtoto mwee....


8 comments:

  1. Jamani nimechekaje sasa Careen anaviatu kama vyangu hadi rangi mweee ahahahahaha.

    Wamependeza kama kawaida yao!!

    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete
  2. Umekuza watafutie kaka yao sasa wa kuwalinda.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kweli tunaomba kaka sasa...hongera watoto wazuri wanaonekana wana afya njema na furaha.

      Delete
  3. Ha!ha!ha! Huo sasa ugomvi ina maana umechoka kuniita mama wawili???? Tena kwa masharti ya kaka yao mdau weeee!!!

    ReplyDelete
  4. the girls r very natural n cute..hongera mama.!!

    ReplyDelete
  5. mama wawili wanao wamependeza Mola akulindie wakue nana swali huwanajiuliza watoto wako ni mapacha au ni hilo vinginevyo napenda maisha yako ubarikiwe sana

    ReplyDelete
  6. Watoto wamekuwa na wana afya tele jiandae kufuga nyuki mana walivyo warembo

    ReplyDelete
  7. Watoto wetu wazuri na wwenye furaha kweli. Mungu azidi kutulindia na kutukuzia, dada anabeba mdogo wake rahaje, nami natamani kuwa na dada lol! kweli watoto ni baraka na yatupasa kumshukuru Mungu kwa baraka hizi. hongera baba na mama wawili mwenza.

    ReplyDelete