Pages

Ads 468x60px

Thursday, August 1, 2013

TUZUNGUMZE


Wandugu mwaka ndio huo unayoyoma tumebakisha miezi  bila shaka kuna wale waliuona.... nikimaanisha yale yaliyowekwa mbele za Bwana yameshajibiwa mpaka wamesahau km ulikuwa ni muujiza (JINA LA BWANA LIBARIKIWE)na wengine bado hakijaeleweka ngoja nikutie Moyo inawezekana!!! jichunguze iko wapi nafasi yako  na je umesimama kwenye nafasi yako???? kama haya yote kwako ni NDIYO 

kaa mkao wa kupokea, usiangalie historia kwamba umejaribu mara ngapi imeshindikana,umesubiri kwa muda gani bado hujaona, wanadam wamelaani vipi, kiasi kwamba imekupelekea kuwapa ushindi,usikubali kuyumbishwa amini ushindi ni wako na kwa muda sahihi...........HAKUNA LISILOWEZEKANA.

 so far mama wawili nina kila sababu yakumshukuru Mungu mnooo...... nimemuona akinipigania kuliko nilivyowaza,amenitetea wandugu mwee, amenipa kibali yaani mpaka natetemeka kuandika..... by the way stay tune for my upcoming project...........ha!ha!ha! msianze kunidodosa dodosa jamani nikajikuta natoa siri kabla ya Muda uliopangwa kwi! kwi! kwi! not in a month  but ndani ya 2013......... yaani Mama wawili nimefikia kipindi ambacho simuoni adui nimegeuzwa nakumuombea adui, kulia na kuungama kwa ajili yake sio nalia kwa sababu amenijeruhi nalia kwakumuhurumia juu ya wingu alilofunikwa asiuone utukufu wa Mungu.........naumia, nakuugua hapo kale nilijua kulaani wapendwa bila kujua nilikuwa najifungia baraka zangu mwenyewe  NASEMA HII NI NEEMA!!!!!! ingawa kuna wakati wa vita ambao lazima upigane na uvae silaha haswaaaaa.......

Ahsante Mungu ulie hai unaeliangalia neno lako  nakulitimiza..........ushirika ushirika ushirika na wewe ndio haja ya moyo wangu!!!!



3 comments:

  1. yani jamani we dada nakupendaga..unanitia moyo sana. unaongea point as per what im going through!

    ReplyDelete
  2. yaani wajina blog yako huwa inanifari sana yani nikisoma blog yako inanitia moyo sana maana yote unayoandika nayapitia ubarikiwe sana kwa kututia sisi wengine ambao tunapitia majaribu na kuvunjika moyo lakini naamini haya yoote yatapi maana Mkuu wetu yu hai halali na wala hazinzii yeye jana na leo na hata milele atatenda kwa wakati wake alioamua mwenyewe kwani hawai na wala hachelewi so wandugu woote tunaopitia katika majaribu tusikubali shetani atukatishe tamaa wala kutuvunja moyo bali tuzidishe maombi hata kama unapitia jaribu gumu kiasi gani ukiona majaribu imekuwa mengi sana kwako ujue mafanikio yako iko karibu so usirudi nyuma sidisha sala piga magoti kwa sana hakika Mungu hamwachi aliye wake

    ReplyDelete
  3. Asante MAMA careen NEEMA ZA MUNGU ZIDUM JUU YAKO KWA KUTUTIA MOYO AMBAO BADO TUKO KTK WAKATI MGUMU,USHAURI WAKO WATOSHA

    ReplyDelete