Pages

Ads 468x60px

Wednesday, August 14, 2013

I AM HUMBLED!!!! (SIKUSTAHILI)

Hivi karibuni nimekuwa  hivi, kila kitu kinachotokea ndani ya maisha yangu lazima nikipe mda wa kutafakari na kujiuliza kwa nini kimetokea,nakujitathimini mwenyewe ni njia ipi inipasayo kukikabili??? na mshangaa Mungu mnooo!!!! moja ya vitu hivyo ni hili.......

last weekend kama jumuiya ya watanzania tuliopo eneo hili tulikutana kwa ajili yakuchagua viongozi, mkutano huo ulifanyika nyumbani kwa Mama na Baba wawili. kama muonavyo hapo chini niko kimama zaidi...... bila mategemeo wala kuhisi  jina langu likatajwa kati ya list ya kugombea umwenyekiti bila kupoteza mda nilijitetea kwa kutokujiamini,km hiyo nafasi hainistahili naamini kabisa yawezekana mda wa kura ungefika bila kujitetea nisinge shinda simnajua kura za makaratasi huwa haziongopi????ha! ha!ha! cha ajabu nafasi yakatibu likatajwa tena nakusisitizwa ni marufuku mtu kukataa, nilijitia moyo kwani majina yaliyokuwa kwenye list niliamini kabisa sio rahisi mimi kushinda lakini nilimshangaa Mungu kushinda nafasi hiyo.................Baada ya hapo nikaanza kutafakari,nakutathimini zaidi kumuuliza Mungu imekuwaje....................TUTAZUNGUMZA NI NINI NILICHOJIFUNZA KUPITIA HILI...............

WAJUMBE
MAMA WAWILI AKIWA HAJIAMINI ANAVYOKABIDHIWA MAJUKUMU

1 comments:

  1. Dah! ndio naona leo mpendwa, mungu azidi kukubariki, tuko pamoja.

    ReplyDelete