Pages

Ads 468x60px

Friday, August 23, 2013

THE LOOK

Wandugu mwenzenu weekend ndo isha anza............... nina kila sababu zakupumzika kha!!! maana hiyo wiki ilivyokuwa ni Mungu tuu............

muonekano
mama wawili
muke ya Slay
myself

weekend njema wadau wangu........ KIKUBWA NI KUJIKUBALI NA KUAMINI INAWEZEKANA.................

4 comments:

  1. On a serious note, Rose niambie kitu kimoja tafadhali. Ulipojifungua, ulifanyaje mpaka hakuna kitambi hata cha uchokozi? Ulifunga tumbo? Na mkanda au? Au ni mazoezi? Maana nategemea kujifungua na nisingependa kubaki na kitambi.

    Pia umependeza.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Eti on serious note hahahaaa!! Ok my dear mwanangu wa Kwanzaa shetani alininyemelea so alitoka kwa c section lea hiyo sikuruhusiwa kabisa kufunga supu japokuwa na masupu na mitori niliyokuwa na kula ila mama yako alikuwa ananikanda kiaina kwa ajili yakidonda according to yeye...... Wa pili alikuwa kawaida nimejifungulia nchi za watu sikujikanda ila kwa sababu ya woga wa tumbo km mwanamke yoyote nilinunua mkanda wa kawaida ambao w engi wanavaa ndani ya nguo kushape kidogo, nilivaa km 2weeks since then sijafanya chochote zaidi ya abs exercises kiaina kukaza maeneo........... Mamii sijui km hivyo vitu vimenisaidia au ndo mwili wenyewe no diet kila kitu kinaingia kinywani mda wowote

      Delete
  2. Rose dear mshukuru sana Mungu kwa huo mwili wengi tunautamani....naomaba sana Mungu anijalie nijifungue salama mwanangu wa pili may be nikimuachisha nitafanya diet angalau nipungue ingawa si kibonge saana but natamani umbo langu la zamani.

    You always look nice Rose.

    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete