Pages

Ads 468x60px

Wednesday, August 21, 2013

SIKU HAZIGANDI


Kweli siku hazigandi my Cristabell kesho anatakiwa kwenda kwenye interview ya kuanza pre school mweeee??? basi leo tangu nilivyokambia sijui hata kanaelewaje haishi kuniuliza maswali na kumtambia Dada yake (Careen am gonna be a big sister like youuuu, cause my mumy is taking me to your school in her voice......ha! ha! ha! kama umsikie vile. wakati huo huo mama wawili najisikaje raha sasa duu wanangu wanatafautiana darasa moja tuu!!! ningejua ningemaliza kabisa nibaki kulea mwee!!!!sasa kwa mpango huu unaweza kuhairisha ukabaki kuwa Mama wawili ha! ha! ha!
vinywele vimefuka lakini naringaje siku hizi kamkono kangu kamenyooka kidogo hapewi mtu hela za kusuka wanangu siku hizi nakomaa mwenyewe

mwaka jana careen alitujia na hii( i wanna come to school because am not kojoa on my Bed.......) baada yakuuliza swali mnaikumbuka?????? tusubiri Cristabell atatujia na ipi.......
AHSANTE MUNGU WANGU KWA KUNIWEZESHA.......

No comments:

Post a Comment