Pages

Ads 468x60px

Friday, August 9, 2013

USINIGUSE

Mpango mzima wa leo ni dont touch na mwendo wakunyata nyata ha! ha! ha! na hivyo wadhungu wanavyojua hug zakipendwa pendwa bila shaka sitarudi na madoa  uzuri wao hawajuagi kujibwiliga make up kama kina siye ha! ha! ha! hilo nalo nimelizingatia............... nimekaa mkao wakupokea wapendwa naelelekea kwenye mkutano wa wanawake nikazidi kujazwa na kujifunza wanawake wa imani walifanyaje,wanafanyaje.....
mama wawili
muke ya Slay
dare to be yourself wandugu.......
msijari ntawaletea desa kwenye topic zetu za tuzungumze........

2 comments:

  1. Pendeza wewe km kawaida yako, ukitoka uje nigawia na mie mama, neno la Mungu ni uzima. Pamoja

    ReplyDelete
  2. i admire you more everyday! u inspire me a lot i just wish we meet and become friends. stay blessed always and the family too.

    ReplyDelete