Pages

Ads 468x60px

Thursday, August 8, 2013

KITAA


Mafuta yakupikia kweli ya dumu japo kuwa unaweza nukia fish & chips all the time mmmh!!!! hivi????huu unywele wangu au nimeaazimwa maana nauchezea tuu..... leo nibane hivi mara kesho kaua mara.............
toto la kibena,kinga & hehe  mrembojeee??? japo kuwa sura yakikazi zaidi kwi! kwi! kwi!
kujikubali, kujiamini kuthubutu mpaka kieleweke ndo spirit!!!!!

Mama wawili

muke ya Slay
BWANA NDIE MCHUNGAJI WANGU NI MWOGOPE NANI???????

9 comments:

  1. Kiukwel mama wawil nmekuwa mfuatiliaj wa blog yako kwa zaid ya six months...na leo nathubutu kusema...kat ya bloggers vijana(hasa wa kike)...ROSE WA SLAY...UKO JUU SANA...wengine blog kutwa matus na vjembe...bt wewe MUNGU MBELE...ENDELEA HVYO HVYO...MUNGU AKUTANGULIE...mama cherrie

    ReplyDelete
  2. Uyo ndio mm wawili origional mwingine feki.wanao ongele mambo ya sura mtajibeba sana tu .

    ReplyDelete
  3. Jamani pendeza sana mama wawili me luv you! Duh

    ReplyDelete
  4. Hii style ya nywele inakupendeza kweli..uso unatulia haswa..

    ReplyDelete
  5. Looking good and sharp mama wawili.. you are an inspiration in my life spiritually and in life in general. Be blessed.

    ReplyDelete
  6. Hapana chezea mafuta ya kupikia ngoja nianze kujaribu na mimi hiki kipilipili changu

    ReplyDelete
  7. Umependeza sana Rose wa Slay, yaani natamani unipe japo siri ya kukeep hiyo figure yako that way...unafanya mazoezi? au ni aina ya vyakula? yaani u have such a cutieeeeeee figure..nakutamaniajeeee

    Mama Twins.

    ReplyDelete
  8. nimefurahi umenionyesha kucha kama nilivyoomba asante sana na umependeza sana

    ReplyDelete
  9. heee beee u va kuboma kumbe?kamwene muyawe sa uko?

    ReplyDelete