Pages

Ads 468x60px

Sunday, July 7, 2013

HAPPY SUNDAY

FEELING SO BRIGHT THIS MORNING.............READY TO WORSHIP GOD

CAST YOUR CARES ON THE LORD AND HE WILL SUSTAIN YOU, HE WILL NEVER LET THE RIGHTEOUS FALL PSALM 55:22

MAMA WA WAWILI
MUKE YA SLAY
MYSELF
sorry guys i cant help myself.......... am so in loveeeee

4 comments:

  1. Habari rose. Blog yako inanipa matumaini ya maisha. Hongera. Nina watoto wawili wa kike, mmoja 3 yrs na mwingine 1 na nusu. Kwa kweli kila nokifikiri kurudi kazini nashindwa. Wafanyakazi majanga. Sijui mimi ni mpole au sababu nna watoto wadogo? Finaly nimeona una watoto wawili, wamefuatana, you are happy, na unafanya kazi. Please kwa faida ya wengine, tell me how did u manage? Barikiwa sana mama wa wawili.

    ReplyDelete
  2. nilianza kuisoma the day nimekuona kwa mange and U turn is my home coz huko ndo nilianza kuondoa stress zangu baadaye nikaanza kujifunza vitu vingi ambavyo ni positive ikiwemo, ujasiliamali mitindo kwa kile kidogo niliconacho still i can style my self well than before na vingine, so kwako pia napata insparation hata ya kwenda church maana kanisani nako ilikuwa issue kwenda nikisoma yale maneno yako ndo kabisa nilikuwa siwezi kusamehe mtu mimi but since nimeeenda home ( uturn na kwako ndo uwii nasamehe yaani mtu hata anikwaze vipi namwambia then i go on with my life clap clap clap for you ladies hongereni coz now am a lady nayeweza kuacha vitu vikapita na nisikwazike wala kuviwazia, keep going mama wawili

    ReplyDelete
  3. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  4. Shost naona umeamua kutolea stress zako humu eti ushamba au cjui mwenzetu fashion police, Pole sana mpenzi

    ReplyDelete