Pages

Ads 468x60px

Monday, July 29, 2013

BABA NA WAWILI


LA MOYONI.... kiukweli moja ya vitu ambavyo Baba wawili huwa anavifanya na kujiona nimebarikiwa  kama Mama/mke ni hichi wapendwa kutenga muda wa kuwa na wanawe  yaani yeye tu na wawili  aisee huwa nafarijika mnoo.....kama Mama au mke utanielewa hapa.....ndani ya wiki lazima iwe siku yao  kwa mda fulani cha ajabu sijawahi mwambia mwee sijui namuonea aibu au ndo vile kuchukulia kawaida kumbe kumoyo unamshukuru Mungu mnoo ha! ha!ha! simnajua mda mwingine akikukodolea macho huwezi kuunganisha maneno????kigugumizi.....Baba watoto ukinisoma kwa kweli unanibariki sana sana sana najivunia kuitwa Mama watoto wako..... hii ndio sababu niliwang'ang'ania  nije na nyie  bila kuvuruga utaratibu wenu ili niwapige picha nimshukuru Mungu kwenye kadamnasi km hivi.


the team
niko nyuma nyuma leo hata sauti za Mama sizisikii niko kikazi zaidi......

nilijisahau hapa nikapiga kelele Ba Careen mtoto anaanguka huyo!!!! 
wanafanya yao
wawili
mmmh!!!
happy them

hapo sasa
nikiripoti kutoka eneo la tukio ni mimi.......

2 comments:

  1. Kweli Umebarikiwa Mwayego Mshukuru Mungu

    Happy Happy Family

    ReplyDelete
  2. hongera sana nimefurahia sana jinsi nilivyokuwa nikisogea chini jinsi nilivyoongeza tabasamu Mungu azidi kukubadiriki sana. Amen

    ReplyDelete