Pages

Ads 468x60px

Friday, July 12, 2013

TUNAJIFUNZA NINI HAPA????


WAPENDWA NAOMBA MNISAMEHEE NA HII PICHA HAPO CHINI LAKINI KWA JINSI DUNIA YETU TULIONAYO SIDHANI KAMA MTAKWAZIKA SAANAA LENGO KUBWA TUZUNGUMZE KWA MFANO..............  

  • najiuliza hivi ni kweli???? hii package ya nje (urembo) au naota???? nikijiweka kwenye akili ya upumbavu nakujiona mimi nimevaa hii package nahisi ntaitwa malaika,  na kuwa malaika kweli....... ntajistukia tuu ntakapo ona mbona nateseka km wengine,kila ninachokifanya ili kuendelea kutunza ule umalaika wangu nakifanyia gizani, sina uhuru  kama wengine japo kuwa najaribu kuwaonesha nina uhuru mwisho wa siku hakuna siri tena kama tulivyoona hapo juu...............Najitathimini, najitambua nakaza buti, naomba neema iliyo kuu iniongoze, nakubali kupondeka na hatimaye ufahamu umpasao mwanadam unanijia na kunifanya upya...................NAGUNDUA UREMBO,UZURI,ENGLISH FIGURE,SWAHILI FIGURE NA VYOTE VINAVYOONEKANA KWA NJE YA MWILI WA MWANADAM  VYOTE HAVINA FAIDA KWANGU JAPOKUWA VINAWEZA KUNIFANYA NIWE NA MANUKATO MAZURIII KM NIKIYATUMIA IPASAVYO.  umbo la nje ukiligeuza kuwa ndio daraja lako lakukufikisha kwenye safari yako,kutimiza ndoto yako mtazamo wangu  unaweza ukawa kwenye hili kundi ( usiabudu miungu mingine..........) na mwisho wa siku  uzuri wa mtu upo machoni mwa............... na pia wanasema usililie uzuri lilia ........... hao ni wanadamu lakini nikisoma  Biblia ina niambia Heri wenye.......... maana.........,Heri wenye.......... maana........ kuna heri nyinngi sana nemda kajisomehe mwenyewe 
  • na pia,


"NINI MAANA YAKE,MPUMBAVU KUWA NA FEDHA MKONONI MWAKE YAKUNUNULIA HEKIMA IKIWA HANA MOYO WA UFAHAMU " MITHALI 17:16


HAYA MAMA YA HESABU SI ZAKO...................

hizi ni habari ambazo tumezisoma... mama wawili sina uhakika nazo HA! HA! HA! ila ndivyo zilivyoonekana naamini Mungu hakuruhusu zipite machoni petu bure kuna kitu ambacho tunajifunza,na hata hivyo ntakapomuona kesho bibie Aggnes mtaani sitamuona kwa ule muonekano wa kihistolia kwani yawezekana huu ndio ulikuwa mlango wake wakutengeneza na Mungu wake na ameshatengeneza  mimi ni nani nikamuhukumu????? LAKINI, ntamuomba tuu kupitia yeye atusaidie kuokoa roho za watu fulani fulani ambao bado hawajajitambua.............. km mjuavyo hata makazini mwenye uzoefu ana soko kuliko fresh .....

TAARIFA BAADA YA HABARI KWA WALE AMBAO HAMJAELEWA KULIKONI

( Agnes ni mrembo ambaye ameoneka sana kwenye vyombo vya habari kwa jinsi Mungu alivyomjalia umbo la nje (urembo) na jinsi anavyoishi maisha ya kuleta heshima mjini kama million mbili zilivyojieleza hapo juu na mafweza hayo  inasemekana amekamatwa na madawa yakulevya ( unga) nchini South Africa) na mama wawili nimeguswa...............

1 comments:

  1. Asante mama,, tunajifunza na tunasamehe. Unga unaua watu wengi, watoto wanaharibika na Kuwa km magari yasiyo na break, kupoteza muelekeo. Mungu nusuru vijana wetu Mungu okoa Africa.

    ReplyDelete