Pages

Ads 468x60px

Tuesday, July 2, 2013

MAMA WAWILI

Do not harden your hearts............. acknowledge  that you've fallen and let The Almighty restore you...........

follow beyoublog on instagram
go easy usije ukawa umeingia  humu kwa bahati mbaya........kauka nikuvae hapa ndo nyumbani either you take it or not.............
Muke ya Slay
Mama wawili
myself
love you all my peeps

12 comments:

  1. Kauka nikuvae hapa ndo nyumbani.Nimekukubali hahaaaaaaa word.Hilo nalo nenoooooooooooooooo

    ReplyDelete
  2. Mshukuru san mungu kwa kukupa mume mwenye vijisenti mpenz,maana hiyo sura na hizo ndefu ungekuwa huna vijisenti sijui ungekuwaje mama

    ReplyDelete
  3. inahusu sana hiyo,yani nguo yako nzuri unaipenda uvae mara moja tu! kwa kweli itakuwa ngumu

    ReplyDelete
  4. MDAU WE MDAU DUNIA HII UNAWEZA UKA MZURI NDEFU HUNA LKN MUME MWENYE HELA HUMPATI HATA LKN UNAWEZA UKAWA SURA MBYA KMA NYANI UKAPATA WENYE MIJIHELA SO MUNGU HAKUNYIMI VYOTE MAMA NDO MANA WASWAHILI HUSEMA LILIA BAHATI NA SIYO UZURI UPO HAPO.HUYU MUNGU NI WAKUMUACHA TU KMA ALIVYO NDO MANA KAJIFICHA YAWEZEKNA HAPO ULIPO WEWE NI MZURI SANA NDIYO LKN BAHATI HUNA POLEEEEEEE WE USILIE NDO MAISHA UZURI HAULIWI SAWA.KMA UNAMAISHA NA MZURI PIA SHUKURU HIYO NI BAHATI YKO PIA MAMA.ABUDU MUNGU UKIFA UENDE PAZURI HAYA MAMBO YA UZURI NA UBAYA HAYANA MSAADA MWISHO WA SIKU MCHANGA UNATUSUBIRI.

    ReplyDelete
  5. NIMERUDI TENA MARA YA PILI MAMA WAWILI MBNA HANA UBAYA HUO KWNZA MBNA MCUTE TU MAMA WA WATU JMN ACHENI HIZO JMNI KHAAAA.UMEPENDEZA PIA MAMA WAWILI MWAYA.LOV U TU MINGI MINGI.

    ReplyDelete
  6. Ahaahahahah! Ni mbaya so what? Does it concern u na?(In naija voice)

    ReplyDelete
  7. umependeza my dear, naipenda sana style ya maisha yako....just perfect...achana na hao mbovu mbovu wenye mastress yao hawana pa kuyashushia wanayaleta hapa...eti m-baya! we unaejifanya mzuri una nini? ...na ukumbuke uzuri uko machoni kwa mwenye kupenda.....upo hapo?we anony wa tarehe 3 july saa 1:58 jiangalie kwanza

    ReplyDelete
  8. mh jamani,huyu ni mbaya,hako kashepu(tena ana watoto wawili) huo mguu, hiyo rangi jamani! we unayesema mbaya haujaviona tu!ndevu manake utajiri!na maneno ya busara anayoyatoaga hapa hujaona tu kama ana moyo mzuri pia!
    mungu akusaidie utolewe huo upofu upate kuona tena.

    ReplyDelete
  9. Jamani acheni wadau waseme maoni yao,ni mbaya haswa na sura imekomaa sana tu,sijui na umri nao unachagia?Kiroho safiii hauna mvuto hata kukutizama kwenye picha sasa sijui live itakuwaje.

    ReplyDelete
  10. Mungu wasamehe hawajui wasemalo, mzae wakwenu mlowaumba kwa mikono yenu, wawe wazuri kwenu, Mungu alituumba sote kwa mfano wake, we unayesema mwenzio mbaya ukifa uzikwe mawinguni mama.

    Mungu aongeze baraka zake kwako mams wawili, imagine ungelikuwa humjui Mungu haya maneno yangekukwazaje. Ur beautiful as ur coz ur the image of God. Me love u mingi.

    LoVe

    ReplyDelete
  11. Kwanini umwambie mwenzio mbaya aliye kwambia wewe mzuri nani?jamani angalie midomo yenu.fikiri kwanza kabla ya kunena kwaiyo km ni mbaya asipige picha hakuna bidaadamu aliyechagu aumbweje.kuna watu wanamidomo michafu embu tuondoke hapa usituaribie siku.Ni bora mchawi kuliko jitu lenye roho mbaya.

    ReplyDelete
  12. kiukweli binadam wote wazuri ila tu tumezidiana vitu flani flani ambavyo simuhimu mama wawili minaomba nijue wekabila gani mpendwa

    ReplyDelete