Pages

Ads 468x60px

Thursday, July 11, 2013

MREMBO WETU WA SIKU NI..............

KWI!KWI!KWI! jamani hivi mnajua mimi na jikubali sanaaaaa????? na wanao zidi kunipa kichwa ni Baba wawili na Wanangu....... cha ajabu wanangu hawakaukiwi neno mumy you look beautiful Baba wawili naye ile sauti yakiume mke wangu umependaza, we mrembo aaaawwwwww!!!! zaidi ya yote nasoma neno "NIMEKUUMBA KWA MFANO WANGU" ooyeah!!!!AM BLESSED!!!!! maneno ya khanga yalinikatisha tamaa zamani kwa sasa mi nikamandoo siteteleki.... ukiona naruhusu comment za fujo ujue tuu nimeamua  kuchangamsha genge........
mama wawili
myself
hiyo ya mwisho namshangaa Mungu na uumbaji wake aisee ,yaani mimi ni mrembo wakutosha kuwa Mama,Mke na rafiki and that is all i need!!!!! hasa kwa umbo la nje

karibuni mmalize stress  za siku

11 comments:

  1. Hahaha kweli Mama wawili, Mungu azidi kukubariki, Watu na roho zao hayo niyakwao. Mungu ametuumba kwa mfano wake, tunapaswa kumtukuza kwa mapenzi yake, harufanani Na ndege, mnyama wala wadudu bali twamanana Mungu. Uwe Na siku njema Na uendelee kumtukuza Mungu. Barikiwa.

    LoVe

    ReplyDelete
  2. Hahahaaa acha nicheke mie,sasa unategemea mmeo ajifariji vipi wakati alishauvaa mkenge?ni lazima akuite mrembo wakati kutoka moyoni anajuta hata kumtazama kwenye hizo picha utagundua anajuta haswaa.Kwani mke aliyenaye ni bora mke kwani hata mvuto wa kiafrika hana.Mlete Tz akutane na mrembo uone kama utarudi nae huko ng'ambo.Kitu kingine nilichogudua hata umri unanzidi,alioa bibi kizee hahaaa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mungu Wangu, Mungu Wangu! Kumbe kweli shetani anaabiria Wengi, kweli wewe dada ulikaa ukaandika haya maneno kwa mikino na akili yako, oh God kweli nimeamini dunuani kuna watu naviatu ukweli mtupu. Kwa hiyo huyo mume alipoenda kumuoa alifunga kitambaa machoni hakuona anayemuoa? Warembo eti mlete tz kwani kakwambia hajawahi fika Tz?? Kweli Watu wanalaana, baada ujiombee upate mme unaomba mwenzio kuachwa hehehe utaomba sana na shetani alivyomsaliti atakwambia uliniona? Baada ya kumtumikia muda wote huo, dada tubu upate baraka Mungu hadhiakiwi. Mama wawili, endelea kumtukuza Mungu kwa uumbaji wake kwako because we are the image of God. LoVe

      Delete
  3. shame on you anony wa 4.12AM na kama wewe ni mwanamke mwenyez Mungu akulipe sawasawa na maneno yako!eeh watu wengine jamani !!!dunia tunapita humu hamtaenda na hayo sijui makalio na sura mnazozimiss use arrgh!

    ReplyDelete
  4. Duh anon 4:20 inabidi tukuombee tena wewe utakuwa mwanamke hapo hata mume wa kukununulia kanga huna.Mumewe angekuwa anajuta angezaa nae watoto wawili?eti hana mvuto wa kiafrica,ebu angalia skin hiyo no mkorogo wala makalio ya kichina.

    ReplyDelete
  5. mh wanawake mna tabu nyie! yani mwenzio akifanya kitu lazima ukosoe? mwacheni Rose kafungua blog yake anaonesha maisha yake na familia yake we kinakuuma nini? kkama we unajihisi mzuri basi fungua yako na wewe uweke picha zako tukuone ulivyo mzuri.....; hiyo yote roho mbaya na wivu! joto hasira!

    ReplyDelete
  6. I love this outfit on you! especially the shoes and the shape of the dress looks amazing too!

    Just subscribed :)

    www.fabulously-pink.blogspot.com

    ReplyDelete
  7. mtu chake bibi kanye mbele huko hata Rose awe kibibi ndo kashampenda kashamaliza kuna wanaume wengine hawaangalii sura bibi wanaangalia vitu vingine vya msingi zaidi upo wangu inahuuu kumsimanga mwana wa mwenzio?kama ingekuwa sura wengi tusingeolewa

    ReplyDelete
  8. tena hao wenye sura wapo tuu tusio na sura tumeolewa na tunaishi kwa furaha na amani huyo ANA PEPO MAIMUNA LISHINDWE KWA JINA LA YESU

    ReplyDelete
  9. you are beautiful and Slay got the real deal.... nina mashaka na mdau hapo juu eti mume aje aone shepu za kiafrica, kheeee mume anaoa shepu au anaoa mtu? my husband is also the real deal and am not close to those African shape and yes she is mine !

    ReplyDelete