Pages

Ads 468x60px

Wednesday, October 8, 2014

YALIYOENDELEA..........

Haya wandugu hapa mjengo tukaondoka kwa kweli palikuwa kiBaba na Mama sana. nilipenda kila kitu huduma zao mwe tulinyenyekewaje sasa? Chakula chao duu sijui wanatiaga vinini aiseee ............. kiujumla nilitamani kujihoney moon ila ndo hivyo next bed toto zimetoa macho hizooooo  kwi! kwi! kwi!?Ila palinishinda kitu kimoja ULINZI!!! duu!! sijui mle ndani kuna mgodi au vipi??? jamani kila sekunde askari mbele yako,sijui analala nani mle ndani  mwee mi mpaka namuonea huruma mbona mateso??? anyway tuendelee na yetu

na humu ndo maakuli yalikuwa yanasababishwa 
nikapata na mpendwa katika Bwana  muhudumu humo ndani kama kawaida yangu sijui kaniongelesha nini nikajikuta nimesema Amen! nastuka mtu ananiuliza are a Christian??? unategemea ningesemaje???oh yes na yeye ndo huyo huyo maongezi sasa yaliendeleaje? mwingine akasahau km yuko kazini na mwingine anatakiwa kubeba vifurushi aondoke kwi!kwi!kwi!

na vilago vyetu na malapa Bwana si hatunaga shida......
Tukafika view from our room........ sikuwa disapointed kabisa  yaani ilikuwa zaidi ya tulivyotegemea . hii hotel imekaa kifamilia ambapo kila mtu ataenjoy nimekosa angle nzuri na Camera yangu ya mchina imebidi niibe kwenye website yao hizi picha mbili za chini...... yaani kama kuna mtu anataka kwenda huko na watoto nakushauri hutajuta humo ndani......... ukitaka mabby sitter pia wapo humo humo ndani ..................


Ice skatting pia ndani ya mjengo......

Endeleeni kunichungulia tuu niendelee kuwadobolisha




No comments:

Post a Comment