Pages

Ads 468x60px

Sunday, October 5, 2014

TUPOGO........

Hizi raha za msimu jamaniii ni sheeeder!!! Tumesahau ndugu, jamaa, na marafiki......... mi mbayaa eeeh!!! kila siku kisingizio mara ooh!! niko busy na mabox, mara oh! raha za msimu kwi!kwi!kwi! binadam atabaki kuwa mwanadam.

 Tunamshukuru Mungu tulifika mafichoni salama, huko kwingine tulikuwa tunapita tuu kutoa ushamba............ntajitahidi kurusha picha za maficho yetu na baadhi ya matukio. 

leo nimeingia kusema TUPOGO........

 Vyakuazima nyie vinaletaga raha kudobolisha mweee!!!!  Jamani sio ketu tumekodi ili na sisi ya mjini yasitupite kwi!kwi!kwi!

Nyie bwana hii ni vacaton wamesema uzee mwisho chalinze huku mjini kila mtu baby  baby na ndo nimekuja sasa jiji la maraha mkiona ngozi za mwili zimening'inia ndo muelewe khaaa!!!............ nyie subirini muone 2pcs baby ya Slay na body lake kwi!kwi!kwi! 


kwanza hili pozi nimelikosea mjue???? ilibidi nikapigie katikati ya barabara fungua milango yote ya mchuma baby yake nimepozi huku nimeonyesha funguo mweee!! nimekuja kumbuka baadae ama kweli ushamba mzigo eti??? 

 eti nani hawa???

nisemaje sasa????? zaidi yakumwambia Mungu ahsante!!!!

Mbarikiwe

5 comments:

  1. ahaha umenivunja mbavu eti kwanza hili pozi nimelikosea mjue, enjoy yoour holiday mamy.

    ReplyDelete
  2. Hahahahha Rose unanipaga raha ujuwe?? ahahaha eti usemaje sasa uuuwiii nimechekaaa!!

    mbarikiwe sana wewe na familia yako.


    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete
  3. enjoy mama wawili wote mna furaha hadi raha!

    ReplyDelete
  4. mko vizuri sana wewe na familia yako , watoto wako full afya hadi raha hongera kwa kukuza mama wawili

    ReplyDelete