Pages

Ads 468x60px

Thursday, October 9, 2014

MATUKIO..........

Matukio ni mengi mnooo wapendwa wangu  sometimes camera ilikuwa inanizingua na tupia huko..........


 kati ya vitu ambavyo huwa naachwa nyuma na hawa wandugu ni suala zima la Maji khaaa!!! hizi mtu tatu ni balaa aiseee


jamani kamekuwa eeeh!!!

birthday girl wangu huyo.......


khaaa!!!

 maji na wao

watu wabishi nyie
hao hapo chacha 

baada ya uchovu kinywaji kinahusu

nilikuwepo mjue

muuza sura utamjua tuu


Tunawapenda.........

2 comments:

  1. Hongereni, mmependeza! Mama wawili ni mpo wapi hapo?

    ReplyDelete
  2. Mwee watu wengine are just lucky in life. Naomba usiache kusema ni wapi hapo!

    ReplyDelete