Pages

Ads 468x60px

Tuesday, May 27, 2014

THE LOOK............


Mama wawili
mapozi kabla yakuelekea
 nakomaa na weather soon vijigauni pia vitapumzika maana baridi inanipigaje miguuni???? mweeeee!!!


haya basi ilikuwa ladies Dinner.  once a month Mama wawili huwa natoka dinner na  wanawake wenzangu wa kanisani ( kiroho zaidi) huwa naipenda hii date aisee wanawake huwa wanafunguka aisee bila aibu.........kiukweli inatujenga mnooo kiimani na kimwili. 

 nawapenda

3 comments:

  1. nakupendaje sasa dada angu ah nilikuwa naumwa nilipamissg humu

    ReplyDelete
  2. sasa unajua nini mamake caren zile zinazoweka mikunjo zoote nrushie mdogo wako basi nchangamke

    ReplyDelete
  3. umependeza sana ila sasa uongezeke kidogo

    ReplyDelete