Pages

Ads 468x60px

Thursday, May 8, 2014

NIMEKUTANA NAZO..........


 Ile siku yetu inayotupa excuse yakurushia vipicha vya zamani a.k.a TBT....... Eee bwana, si nimekutana na hizi hapa  naikumbuka vizuri sana siku aiseee mmmmh!! siri yetu....... ila zinazonishangaza ni muonekano wa wanangu ilikuwa ni mwaka jana tuu mwezi wa nne lakini ukiwangalia saa hizi kunatofauti kubwaaaaa, mabadiliko nimakubwa sana duuu!!!! hasa Christabell kawa mdada  gafla. kweli siku hazigandi mwee!!!
ni kawaida yao kuwa vituko hasa wakiwa wamejisahau nani ni nani kwi! kwi! kwi! watagombana in next minute marafiki tena, shida kwangu sasa ntanuniwa siku nzima kama sijajibembeleza mapema mweee NI SHIIIDA!!!! Hivi hili ni janga la wakina Mama wote au mimi tuu????
Jamani!!!! i just cant wait  kuwaonesha picha zao wakikua nakuanza kuniletea upulusi............
them smile jamani ni kila kitu kwangu........ no matter what aiseee. kila kitu kwangu ni matokea...... kuna ka swali huko kwenye mitandao watu wanaulizwa wachague  PESA NA FURAHA duu bila mawazo jibu langu FURAHA pesa zinatafutwa uwe na mia mbili maisha yanaenda,million maisha bado yanaenda tuu nikujipanga na kukubaliana na wakati.

No comments:

Post a Comment