Pages

Ads 468x60px

Sunday, May 4, 2014

SUNDAY LOOK...........


Jambo jambo Wadau wa mimi????? Haya ni siku nyingine tena,  kesho week nyingine, tunakimbizana na ndoto zetu............... ukiangalia mazingira sana hauta ona uwezekana wakukamilisha ndoto yako,  utakubali kuifanya kubaki ndoto, hutaki kuiruhusu ije kwenye uhalisia. umeanza kutafuta sababu, eti fulani aliweza kwa sababu alikuwa hivi, fikra danganyifu zinakudidimiza.IMANI YAKO IKO WAPI???  Wandugu lile neno la INAWEZEKANA  sidhani kama liko saaaana kwa kina hawa (Nilikuwa natamani gari langu mwenyewe My Dad  alikuwa na gari saba akanipa moja( in their voice)) japokuwa sio mbaya ila mimi naona lipo kwako wewe ambaye hata baskeli iliuzwa ili ufike hapo ulipo.  lakini ulifika kwa sababu huyo aliyeuza baskeli alinia kukusaidia hapo ulipo. Nakumbuka Mama yangu aliwahi kuwish vitu vingi sana juu yangu nikiwa mdogo japokuwa kulikuwa kuna ugumu mkubwa ambao muda mwingine hatukuona hata uwezekana  leo hii nikiangalia ile picha nzima ni NEEMA TU MPAKA HAPA........... HIVYO NINA SABABU NYINGI ZAKUAMINI INAWEZEKANA



 muke ya nani hiii???
you cant see me!!!


kajibaridi kanatupa excuse zakujifunika funika  huku tukiwa bado tunakomaaa na fashion
kununa sasa duuu!!!
nawapenda

5 comments:

  1. umependza mamii.....

    ReplyDelete
  2. umependeza sana !

    Mama C

    ReplyDelete
  3. Umependeza sana muke ya Slay

    ReplyDelete
  4. HIZO NYWELE UMEZIFNYEJE ATIIIII

    ReplyDelete
  5. nakupenda bure mama wawili i love the way u dress

    ReplyDelete