Pages

Ads 468x60px

Friday, May 2, 2014

MSHIIINDWEEEEEE...........NAMLEGEEE

Nikigundua mtu ananifanyia huu mchezo ntakupandia ndege ujue ...............ha! ha! ha! ha! shauri yenu lakini, hisi ni sambi senu wenyewe mngejua tunavyozihangaikia mweeee!!! lakini tatizo na sisi tunajitutumua mno khaa.mtajuaje tuko ulaya?????mweee nimecheka mpaka nimejihurumia aiseee

check mazingira ya huyo wa Afrika halafu rudi kwa mtoa hela sasa. malipo kapata mtoto maskini wakati wenzie wanaandaliwa holiday duuuu!!!! 

1 comments:

  1. inauma sana aiseee! kunandugu wengine wanaweza kukufanya ujute!

    Mama C

    ReplyDelete