Pages

Ads 468x60px

Sunday, May 25, 2014

ABOUT KITAA....................

Nipogo watu wangu ni vile majukumu yamenizidi nashindwa kujigawa kuingia humu, kilichovuruga zaidi chaja ya camera nilikuwa siioni  na muda wakuitafuta ndo mpaka nitulie....... haya sasa ndo tushaiona matukio ya about to go, the look,........... mtaendelea kupata. halafu siku hizi sibebi Camera kwenye makusanyiko ni mpaka wahusika wahitaji  otherwise huwa naona hayawahusu sana si etiiii..........

my new magongo..........
herself
wandugu ubusy na stress za week hii vikilo vyangu kwishinea tunaanza upya kuvikusanya mweeee!!!!( kifupi Baba wawili nilikuwa naye mwezi mzima mzigoni so mambo mengi sana alinisaidia nikapumzika this week kaanza kufanya yake na yeye duuu ni full mchoko aisee, bado sijarudi kwenye mstari vizuri,not easy wandugu though i love what am doing......)

mazoezi ya miondoko nisije tia aibu kitaa.........
muke ya Slay

PENDA NYIE SANAAAAA!!!!

2 comments:

  1. pole na majukumu mamy umependeza hivyo viatu vizuri sana

    ReplyDelete
  2. mama nanihiiiiiiiiiiiiiii jamani vipi leo kumenuna wa kwetu

    ReplyDelete