Pages

Ads 468x60px

Thursday, February 27, 2014

LONG WEEKEND


  Wandugu huku kwetu ni long weekend so tumeamua kujificha.....
baada ya masaa sita  kudrive tumefika.......

 wamechangamkaje sasa walikuwa wamelala njia nzima

checking in
wakati wengine wanakoroma mimi na Baba watoto tukajikuta tumekumbushia mbali yaani day one tulivyokutana story za maisha yetu duuu Wandugu ni neema haikuwa kwa akili zetu................ MUNGU ANAWAJUA WALIO WAKE HATA UJIFICHE VIPI ATAKUFICHUA TUUU.

Mbarikiwe

4 comments:

  1. barikiwa pia dada angu,at last isaw my favourate Duh careen an bela looking stunning and ggz.MUNGU AWALINDE.

    ReplyDelete
  2. Maficho mema,

    raha jipe mwenyewe

    ReplyDelete
  3. sooooooooooooo sweet. sasa na wewe si ungetuhabarisha kidogo juu ya makutano yenu watu tufurahi. endelea kutu update

    ReplyDelete