Pages

Ads 468x60px

Monday, February 24, 2014

NYUMA YA PAZIA


 Mwenzenu nimesikia  Chameleon yupo mjini , huyo na team yangu tukajiongeza tukaone   na kumshuhudia  kiutu uzima..... kiukweli yeye kama yeye alivyopanda jukwaani nilimpenda yaani alinikumbusha nyumbaniiii, halafu nyimbo zake asilimia kubwa ni kiswahili  wee Baba watoto alinipa style yake na yeye ya enzi hizo  kwi! kwi1 kwi! kikweli tulijisahaulisha kidogo ( acha kulia  aa shida za Dunia aa hebu tulia mwana hujatulia)  Ila sasa yaliyokuwa yanaendelea pembeni ya hapo  mmh!1 jamani mi mwenzenu sio ushamba tuu na utu uzima unachangia mwee!!!
 ukikipenda kiatu makofi  kwa Baba  wa Wawili
kiutu uzima na sie..........



na ndugu zetu wa kariiiiibu......

ushahidi...

6 comments:

  1. ha ha ha ha eti na ''utuuzima!''na bibi cristabel aseme nini?Umependeza dadaangu slay wife chezeyaaa

    ReplyDelete
  2. You are my role model ! I tell you...!
    Nakupenda from the bottom of my heart kabisaaaa.....more blessings ur way mamy.


    mama L.

    ReplyDelete
  3. You rock mamy...Simple and elegant....!



    mama L.

    ReplyDelete
  4. hukua na haja ya kuandika ushahidi mana sio kesi na hakuna wa kubisha mbna kawaida sana nawewe

    ReplyDelete
  5. Hahahahahaha eti kawaida usikute mwenyewe unareport kutoka Tarime huko halafu unajitia kawaida.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tena wa rorya huyu namapanga yake lmao

      Delete