Pages

Ads 468x60px

Wednesday, February 26, 2014

KITAANI



Herself

 najicheka mwenyewe ninavyoringa utafikiri nimetumia mi$$$$$$.... mwe hapo ni $ 5,10,.... yaani ukitoa saa, pochi, na pete wandugu am less $50 hiyo naiona kawaida kwa maisha yetu huku ni kama karume yetu bongo au wapi kule kama unaenda mwangata Iringa (duka lamitumba) kwa mpango huu hata wewe unaweza  jipiga kwa karume na ukawa poa tu na kitaani ukabamba sio  lazima majina makubwaa ndo utokelezee. TUNAWEZA

11 comments:

  1. thats you my Rose....nakupenda bure, ghala zako ziendelee kujaa na mashinikizo yako yafurike.....

    ReplyDelete
  2. ''no comment my boss'' MUNGU AENDELEE KUKULINDA

    ReplyDelete
  3. mbona zinaonekana tu ni so chap hata usingesema mpendwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. anonymous 1:31 utakuwa mgeni humu ndani or one of the h**ers. Mama wawili can dig money in either way kama hujui. Mama wawili nakupenda bureee hujawahi kuniangusha

      Delete
  4. anony hapo juu ni ibilisi mwenyewe yuko kazini. hahahahahaha Rose anawauma na atawauma sana tena sana na zaidi ya sana. She has a life, get yours bitch.

    ReplyDelete
  5. Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Rose zidisha dozi mpaka watu wapandwe vichaa. Wakiwaza ndoa zao majina. Hakuna amani, upendo wala kudekezwa, stress zao wanakuja kuzitolea humu. Tena ukifunga blog kuna wengine watajiua coz they will lack a reason to live for.............

    ReplyDelete
  6. Halafu we pusi hapo juu ni cheap sio chap. Badala huu muda uende british council ukanoe kizungu chako we unakimbizana na Rose humu. hulalala na bado

    ReplyDelete
  7. lol ni mtazamo tu zinaonekana yes sasa kosa lake nn

    ReplyDelete
  8. pendeza wewe! Umenikumbusha Iringa....nilikuwa Naishi Mlandege na uhindini beee!!!

    ReplyDelete
  9. Kweli adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie

    mnyalu

    ReplyDelete
  10. Nyie vp c mtazamo tu we differ ss mapovu yanawatoka kwa nn au coz mpo bongo vyote vya mtoni u thnk ni mahela no dears

    ReplyDelete