Pages

Ads 468x60px

Thursday, February 6, 2014

THROWBACK 2013 (Vacation)

leo nimekaa kuwazawaza kivacation mweee hata dalili sizioni , itakuwa lini, itakuwaje, na wapi????  ila nafikiri ni wakati wakuamua ili nianze kudunduliza kwenye kabox kangu kwi! kwi! kwi!
 natamani iwe Bongo ila nawaza itakuwa vacation kweli au ndo jamani nimemiss mtu fulani ngoja nikamuone, jamani Baba wawili na hamu yakukutana na wana beyou mwenzio , au jamani  ijumaa hii mlima wa moto kuna mkesha wa maombi kwi! kwi! kwi! yaani ni full usumbufu...... Haya wandugu mniombee kakibox kangu kajae basi maana nahitaji break kwa kweli. duu.....

 vacation yangu ya last year nilienjoy mnooo.......  ona baadhi ya picha ilikuwa Bangkok. (ahsante Mdau)

nikimefika

nilijificha hapa

yaliyoendelea



Mama wawili


chilling


yaani ilikuwa ni full kushangaa mitaani , siku hii niliamua nitulie hotelini 

sisi hapa

jamani hata mawigi yanakaa inategemea.....

tukijisahaulisha majukumu



good time

na humu tuliingia

na hawa tuliwashuhudia


good memory wandugu


tuliona na wenzetu wanakofanya ibada zao

 nilijifunza mengi kwa habari ya imani za watu

 na rafiki yake

The end

5 comments:

  1. Raha !!!!!! umeamsha uhitaji ndani yangu. Najua siwezi enda mbali lakini nishindwe hata bagamoyo???

    ReplyDelete
  2. very nice love.wengine partners wetu ni waoga ukiongea vacation utatajiwa kodi za nyumba,na majukumu ya kila siku.so sad.

    ReplyDelete
  3. Mama Wawili,

    This looks like Bangkok to me and not Hong Kong. I hope you will have vacation soon..

    ReplyDelete
  4. jamani..hadi mtafute kasoro kwa nguu kwa nini usimpongeze mtu kufurahi pamoja naye kimya kimya? si amesema wazi ilikuwa Bangkok sasa hiyo Hong Kong imetoka wapi? yani kuna watu wana stress na mawivu hadi hawaoni good things in people. khaaaaaa

    ReplyDelete
  5. Heeee mdau Kwan kasema alikua hongkong!!!!?? Msomage vizur wivu tuuuuu.....hongera sana mama wawili ua blessed

    ReplyDelete