Pages

Ads 468x60px

Monday, September 16, 2013

NEW HAIR LOOK

TEAM BLONDE....... tunafanya ile kitu roho inatamani  kwa muda huo bora mradi kiwe halali......
zikianza kupunyuka ntajilaumu mwenyewe wandugu....
hizi zingine kimashauzi kidogo hahahaa!! nikiingia kwenye hichi chumba sometimes huwa najisahaulisha  km mimi ni mbeba mabox mwee.....navaa kiofisi, naigiza kibosi,na ............. napanda mbegu ya imani wandugu....
muke ya Slay......
blonde  nimeweka kiwoga woga heheee!! nikijielewa naenda kukoleza.......

2 comments:

  1. Mmmmhhh kweli umeamua kujitoa ufahamu

    ReplyDelete
  2. Mama wawili noooo. labda hazijachanwa vizuri ebu ziweke fresh labda mpnz nitaelewa. serious please rudisha my nywele nakupenda bure mpnz. before hujarudisha ziweke vizuri kwanza. hazijakaa vema hapo.

    ReplyDelete