Pages

Ads 468x60px

Monday, September 2, 2013

BABA NA WANA

Niko bize mpaka nilisahau kama ilikuwa ni Father's day............naenda kuchukua watoto shule ndo nakumbuka !!!!!baada yakunionyesha zawadi walizopewa kumpa Baba yao mweee!!! kweli nahitaji kuchapwa..........  sikutakiwa kusahau kabisa hii siku!!!!!! Baba wawili deserve  more and more and more.................. He is the best Father in the world......... hii siku ilikuwa ni nafasi kwangu kuzidi kumtia moyo,kumwinua, kumuonyesha kwamba anachokifanya kwa watoto wake nakithamini  nakukitambua!!!!............duu sijui nimesahauaje ?????? najitia moyo tu kwamba amenielewa  kwa jinsi tulivyobanwa na vitu fulani fulani, tunachoka mnooo.......akili haiwazi zaidi ya .............anyway
nilichofanya nikubook table for dinner.............maana everything was too late

here they are................
wakimpa zawadi Baba yao walizotokanazo shule
hiyo picha eti ndo Baba yao , eti  Careen kamchora .....

ndani unakutana na key holder,  mbona wamenifaa huko shed kwa Baba watoto!!!!
Cristabell naye alikuwa na yake, picha yake na maneno matamuuuuuuu...........
ndani unakutana na hizo kanyagio. zake.........

The team......... 
habari ndio hiyo................ tumeonja tuu tuonane kesho  kwa snap za dinner........

1 comments:

  1. pole mama nami iliwahi kunitokea nilitamani kulia, wakati yeye huwa anakumbuka kuliko chochote, ila mwisho wa mwisho sisi ni binadamu na nivyepesi kusahau hasa ukibanwa. Hongera baba wawili kwa zawadi watoto wanafurahisha sana. Mungu awape na wale ambao hawajajaliwa kupata furaha hii.

    ReplyDelete