Pages

Ads 468x60px

Wednesday, September 4, 2013

MAMA WAWILI


Sina jipya zaidi ya mapozi ya mgando leo............ tumeanza spring huku kwetu basi nikitoka kwenye vishughuli vyangu kuna haka kajua kananivutia hili eneo kabla sijaingia ndani........... yani kapo eneo hilo tuu kwingine kote baridi........ nikishuka tu kwenye gari lazima nikapitie au niingie ndani nichukue chochote kinywaji then fasta nje mpaka kanizimikie..............
mama wawili
ukiona hivyo ujue new accessories, na nywele kama kawa lazima nikuringishie olive oil idumu( a.k.a mafuta yakupikia)
muke yake Slay
mama beyou..............

1 comments:

  1. Hivi are you serious unatumia olive oil kwa nywele? how? na me nianze sasa hivi kutumia... saloon watanisahau lol!

    ReplyDelete