Pages

Ads 468x60px

Sunday, September 29, 2013

EVERYDAY SUPRISE! SUPRISE! SUPRISOOOO......

Anakwambia nataka nimjue HUYU MWANAUME AMBAYE UPEPO NA BAHARI VINAMTII.......MUNGU KUMBE JINA LAKO JINGINE NI REJECTED??????, ...........ADUI UNAOWAONA LEO HUTAWAONA TENA.........ALIPORUHUSU JARIBU HILO ALIJUA UNAWEZA,  ZAIDI NATAKA NIMJUE.........EVERY DAY SUPRISE,SUPRISE SUPRISOOOO......

 nisiwamalizie utamu wandugu sikilizeni.......VERY INSPIRING!!!!!!! GOD BLESS YOU CHRISTINA SHUSHO......... KEEP IT UP MY DADA.........yaani hujui tu jinsi unavyotumika kutibu roho za watu......

Kiroho safi wandugu sina nia yakuuwa soko la mziki wa mtu ila kiukweli nikipita kusikiliza hizo nyimbo zinazosifiwa mdundo huwa nauelewa kidogooo labda kwa sababu napenda midundo......... lakini ujumbe huwa sielewi kabisa hakuna jipya zaidi yanikinywa maji nakuona kwenye glass na hadithi za abunuasi na maneno yakiuchokozi chokozi ambayo yamenia kumfadhaisha mtu................... sasa sijui ndo ushamba wangu au???????kweli ushamba mzigo khaaaa!!! ila ndo nimeridhika nao aisee kama ni maombi naomba mniombee niwe hapa hapa au niingie zaidi shambani ya mujini  yamenishinda mwenzenu.................(msiende kunisemelea tuu nimetoa la moyoni mwenzenu nikilizuia litanikaba)

kama wakunielewa utanielewa tuu we sikiliza hili goma..........Dunia tulionayo wandugu tunataka kutiwa moyo,kuinuka,amani,kurekebishwa kwa nia yakusonga mbele zaidi ya yote KUMJUA HUYU ALIYEKUFANYA WEWE NA MIMI LEO TUWE.


Anajinomaje sasa na mimba yake ?? ujasiri wa kile anachoamini sasa, Mama wawili mbona burudaniiiii.......

1 comments:

  1. WOoow..every day suprise surprise suprisooo...natamani kuwa kiroho zaidi ya nilivo jamani ndio feeling ninayoipata nikisikiliziga nyimbo za huyu dada.Rose unaweza kuwa mlezi wangu wa kiroho? if yes give ur email pls.Wimbo umesimama nimeusikiliza had kitoto tumboni kimefurahi am sure malaika mbinguni nao wanashangilia

    ReplyDelete