Pages

Ads 468x60px

Thursday, September 26, 2013

LATE POST

My Careen alivyosherekea birthday party yake darasani..............

puzzle tym
alikuwaje na sifa sasa....... kila anachojua alinionyesha
huyu ndio best yake darasani .......huyu mtoto huwa ananikumbusha enzi hizo nikiwa la kwanza nilikuwa na rafiki yangu alikuwa baunsa kinoma weee ananipa masharti yakuleta vitu shule halafu ananinyang'anya kusema nyumbani naogopa, kumwambia mwalimu nagopa atanipingua urafiki halafu nilikuwa nampenda mnooo............( Sophia  N.yako hiyo ukinisoma)
ndivyo nnavyomuona my Careen hapa haachi kumtaja best yake ukiandaa lunch box atakuuliza Mumy did you put one for ............
nimemkomesha na springles maana aliniambia ameipenda ile Keki ya kanisani kwa sababu ya springles.....
mwalimu akisafisha mikono yao ready for......
ila mwanangu angekuwa ananisikiliza kama anavyomsikiliza huyu mwalimu ningelingaje............mwalimu anamwambia kiupole nakiupendo my Careen anafanya hata akiwa nyumbani atakwambia Mama  my teacher said am not allowed to .............,  halafu wanapendana mnoo .Mama mtu sasa mpaka muda mwingine niongee kihehe au kikinga ndo anielewe hahahahaa!!! au nimwambie your teacher wont be happy if you do that mweee yale yale ntamwambia baba yako akirudi kwani wewe umeshindwa kuwajibikaaa????? hulka ya kina  Mama hiyo
oooyeah!!! she is five................nimekuza mwenzenu Ahsante Mungu

THE END

2 comments:

  1. Mungu atukUzwe kwa Neema zake. Atukuzie Na kutuongozea mtoto awe wakumjua Mungu vyerna Na kumpendeza. Nadhani ni watoto Wote kuogopa walimu manake hata wakwangu hivyo hivyo hadi nashangaa ni nini hasa wanaogopa?

    ReplyDelete
  2. Umenichekesha na kunikumbusha Iringa hapo uliposema uongee kihehe au kikinga ndo aelewe...u mwana ana kidada huyo...happy bday careen

    ReplyDelete