Pages

Ads 468x60px

Tuesday, September 10, 2013

MAMA WAWILI


Bado nakomaa kitaa na njano.....ya leo imekolezwa zaidi na gari................

ukionahivyo ujue ni mali mpya kabatini..............

kiroho safi wandugu mliopo nje ya nchi hivi mnafanyaje na lonya zenu ambazo hamzivai tena????za watoto, zako au Mume????tofauti nakupeleka  o shop???yaani natamani kuzituma bongo hiyo garama ni bora umtumie huyo mtu hiyo hela yakutumia huo mzigo.................Mama yenu alivyokuwa anaondoka alijifanya amekusanya lonya km kilo 50 zaidi alipofika alipewa garama ya kama 4million yaki bongo weee alibadilishaje uamuzi fasta..........  nanikifanya garage sale mmmmh!!! nani atakuja kununua nguo aliyovaa ngozi nyeusi???? ha! ha! ha! msaada tutani pls pls pls

mama wawili


muke yake

6 comments:

  1. Walikagua begi lake? Mimi huwa napeleka tu Red Cross basi sijawahi kutuma kitu, ila ikitokea naenda ndo napakia niwezavyo Na airport km mwaka Jana waliniuliza humu ndani una nini nikasema Zawadi Na nguo zetu wala hawakusumbua. Pole mama yetu jamani ila km unaweza ziuza we jitose tu ufanye hiyo garage sale kwani heri kuwatumia pesa wanunue mtumba kule.

    ReplyDelete
  2. Nakuja Perth wiki ijayo , naweza wasiliana na wewe ni bebe walau Begi moja kama my Personal stuff ? Ingawa sijui wewe unaishi Muji gani Please Confirm

    ReplyDelete
  3. umependeza sana rose, ila sketi ingekuwa fup kidogo ungechomoka zaidi..

    ReplyDelete
  4. kama ni nguo zako wewe mm niko tayar kugharamia usafirishaji zinifikie mm mwenyeweee samahani sana hayo mapigo yako yako juu kwakweli si bora nikapige mtmba wa ninaye jua kauvaa nani.. nitumie mwayego mm ntanunua kabisaa.ikiwezekana uwe una gonga siku moja nguo unaiforwad kwangu kwa bi ya chini kidogo

    ReplyDelete
  5. wazo langu ni kuwa, kila unapokuja uje na nguo zote ambazo huzihitaji ukifika huku unaziacha zote labda utabana utazotumia kipindi chote cha mapumziko ila ukitaka kurudi na zenyewe unagawa. Mama wawili mtarajiwa.

    ReplyDelete
  6. Mimi mwenyewe nazitamani hizo nguo ila blouse tu ndio zitanitosha ila za chini hapana

    ReplyDelete