Pages

Ads 468x60px

Friday, January 18, 2013

WELCOME TO AUS LAND MAMA WA ROSE

 Haya sasa mgeni wetu huyo kaingia mujini...............


tuliwahijeeeee??????

mama na mwanae ( habari ya mgeni huyu sasa asiniambie bwana mi manywele yako feki huwa na kwambia kila siku uyaache......... angalia sasa zilivyokupunyuka hahahahaaaaaa!!!! namwambia huku sio kupunyuka ndio fashion yake alivyojibu aaah! bwana basi uwe unafunga kilemba kwi kwi kwi....... so guys kwa muda huu atakaokuwepo vinywele vyangu vitahusika sana au kuoka my mumy never like fake hair........ just for her

hapo chacha........ MY HERO ......... kitu kilichoninyima raha nilijua my mama ana kisukari kilichojulikana si zaidi ya mwaka lakini sikujua kwamba kiko kihivi chakula chakuchagua!!!!!!! guys i want to feed my mumy bila kikwazo..............sifurahi kumuona Eti anakula chakula kisicho na test.............OMG!!!!! plz email me diet za kisukari.......... i will google too....... i need to see a Doctor  kwa kweli
hatujielewi kabisa............
hapo chacha ( lady bug) baada ya hapo alitokea SLAY weee lilipigwa goti hapo nilimuoneaje huruma baba wawili maana sikumuelewa anataka kumuinua mama mkwe wake au alikuwa anamuhurumia kwa hilo goti alilopigiwa hahahaaaa!!!! hao wadhuuuunguuu sasa hawakumuelewa my mum @ ol
hahahahaaaa!!!!! ahsante girlfriend bila wewe  the English zey w'r going to b ze problem hahahaaaaa!!! nisingepata picha yake @ Dubai airport kwi!kwi!kwi! Thank you so much..........

6 comments:

  1. Hahahaaha yaani ROSE na watoto wako mnavituko saaana..yaani nimechekeje......[Lady bug].

    Pole mama kwa kisukari,MUNGU atamsaidia..Karibu sana mama na uwe na wakati mwema na wajukuu!!!!nakuonea Wivu segito.

    ReplyDelete
  2. Just like I said bibi is coming,am happy for u my Rose!

    Vero

    ReplyDelete
  3. Km kuna siku umeonekana mwenye furaha basi nikuache hii siku.NANI KAMA MAMA

    ReplyDelete
  4. Woow finally mgeni amefika,basi bi shost wewe kudekaje hapo sasa?

    ReplyDelete
  5. Wow lazima ufurahi mwaya, kukaa na mama mbali kiasi hicho na kwa muda mrefu ni kazi sana. At least kaja acheze na wajukuu zake.

    Mpe pole sana kwa kuugua kisukari ni kazi kubwa kumjali katika vyakula nina experience na huo ugonjwa my Dad anao pia, ni ugonjwa hatari sana aisee.

    Mdau- Musoma

    ReplyDelete
  6. May u have a bliss full time with your family .not so long utasikia mama anasema nimejichokea bora nirudi zangu nyumbani food test so horrible.dont know kama ni blog maana social network zinatudanganya sana siku hizi lakini kama sio hivyo u have a lovely husband so caring and hardworking just like mine ahaaaaaaa i love my husband cant trade him for anything dont understand women u cheat there husbands

    ReplyDelete