Pages

Ads 468x60px

Wednesday, January 16, 2013

UBUSY NA MAMA WAWILI

Yaani jana niliona niwapotezee kabisaaaaa,  muda wakublogua haukuwepo kabisa, nilivyotoka kulea wazee wangu tuu shughuli niliyokuwa nayo ndo hiyo........maana huyu mgeni wetu anaekuja bwana ni jembe asikwambie mtu!!!!!! ukimwaacha tuu bila shamba hachelewi kukuaga hahahaaaa!!!!
kikaz zaidi
maandalizi
 hapo chacha nishaanza kuchemsha hahahaaaa

hapo chacha
lilikuja jembe lingine hapa duuu
haikuchukua round
kwishenea
jamani i didnt mean kuleta kilichojiri baada ya hapo....... but hey!!!!!! it feels so good unapokuwa home  someone just ring  you kucheck km uko nyumbani nakukwambia nakuja na dinner or lunch au nanunua kitu fulani tunakuja kupika na familia yangu tule pamoja kwako halafu sio mtu mmoja ni tofauti na mataifa tofauti.............kwa huku kwenye nchi za watu mmmh!!! its a blessing kwangu jamaniii kwa kweli unaweza ona kitu chakawaida  lkn kwangu namshukuru sana Mungu kwa hili saaanaaaaaa...........
kukifull huwa nawahifadhi game room hahahaaaaaa!!!!

Love you my people

4 comments:

  1. Kubal kataa mama rose anakuja huko,na kwa experience ya umbea nlionao nkiotea kitu huwa kwel,kama unabisha sema suuuuu...af jembe ndio kama limefanya kaz yote we ulikuwa unachezea udongo tu,Mungu azid kukubariki ukubalile popote uwapo

    ReplyDelete
  2. Beeeeeeeeee....hahahahaha nimekupataje hapo

    ReplyDelete