Pages

Ads 468x60px

Friday, January 25, 2013

HAIR DO


Kwa kweli nimewapotezeaje haka kawiki????? nadekaje mie? nikirudi kubeba mabox  sitamani chochote zaidi yakujilaza pembeni ya my mumy hahahaaaaa!!!! hakuna kublog wala nini............ hahahaaaa!! back to normal next week............. nishadeka na kumaliza utam ila hamu bado haija isha............

ananisuka style za miaka hiyooooo...........
hapo chacha nani kama mama???????

2 comments:

  1. Mh kweli unadeka

    ReplyDelete
  2. Mama wa2 hyo style ya kusuka kwa uzi ni nzur nywele znanyooka vzur,my mama used to do that enz ya primary ijumaa nafumua anansuka za uzi had j2 ndo nasuka twende kilion zng,bt hk kudeka kwako unatufanya tukumic kijiwen

    ReplyDelete