Pages

Ads 468x60px

Sunday, January 13, 2013

HAPPY HOURS

  Hali ya hewa haikuwa yenyewe  yakuingia kwenye maji.... ila kulikuwa nakajua fulani kazuriiiii kanavutia kukaa maeneo ya swimming pool hahahaaaaa!!!!! asikwambie mtu chura chura haachi asili akiona maji tuuu habari ndio hiyo inayofuata..............

 mara baba mtu dumbwiiiiiiiiii!!!!!! watoto heeeeeeeeeee!!!!! mama mtu dady make sure wanangu hawaingii please baridi........haikuwa rahisi......... waache waweke miguu tuu............ haikuchukua round habari ndo hiyo hapo juu.......



hapo chacha mpenda camera na yeye masaa yote yuko tayari tayari kwi! kwi !kwi!

Dada lenu hilo...............
Nashangaa hadi Camera hahahaaaaa!!!! mshamba mshamba tuuu.....

mama wawili

muke halali wa Slay
kilichowambia muingie humo mmekipata ............. wanatetemekaje na baridi
poor my cristabell no swimming nappy sipati picha alivyokuwa mzito........ na hiyo cheka yao will tell you baridi yake..................
habari nyingine ya bidada katika harakati za mama kuwafundisha kiswahili Cristabell  bibi ni nani in English?? aaam,aaam,aaam Bibi is a ladybug!!...... hapo chacha!! Vero upoooo????
wawili
girls

6 comments:

  1. Aahahaha wawili wako wanaonekana ni watundu sana duh eti ladybug lols.


    Mdau-Musoma

    ReplyDelete
  2. Love family... all the best.. pendeza muke halali ya Slay

    ReplyDelete
  3. Hahahahaaaaaaa really fun Jamani,ladybug uwiiii kwikwikwiiii so I gues bibi z kaming dada Lao so cutes wanabid wale tizi kudadadeki!!!I lv it sana Rose wa Slay..

    Verostima as usual!

    ReplyDelete
  4. Mkubwa anafanana na wewe mdogo Babake Mtupu

    hongereni

    ReplyDelete
  5. Hao little fish wakiona maji lazima akili iwasimame

    ReplyDelete
  6. i love them girlz..they are cute nashindwa kusema wanafanana na Baba or mama coz they have all features za baba na mama

    ReplyDelete