Pages

Ads 468x60px

Thursday, January 3, 2013

PILIKAPILIKA ZA MUJINI

Tuliamua kuwa mapaparazi kwi kwi kwi siku moja moja mnajitoa akili  mnakuwa vituko mjini hahahaaaa!!!i love us aiseee........
mama na mwana
mama yao
Slay subiri niweke miwani vizuri basi.....
mama wawili & only muke halali ya Slay
hapo chacha cristabell na miwani yake..... hahahaaa happy us
my people......
vituko mjini.....
mwee nilimuuzia chai tuu......
spotted
hapo chacha  sale sale  na mama wawili
hatuja fuga mbuzi jamani hahahahaaa
HOI.......

5 comments:

  1. Picha nzuri na watoto nao tartiiibu wanakuwa kama mama yao I like hiyo miwani ntumie kwa dhl te te

    ReplyDelete
  2. Rose umependeza umetokelezea simple.


    Madau-Musoma

    ReplyDelete
  3. Mama wawili hivi watoto wako wanaongea kiswahili au kiingereza? ahahaha Just curious!!!

    Mdau-Musoma

    ReplyDelete
    Replies
    1. Najitahidi sana kuwafundisha kiswahili ila naona siku zinavyozidi kwenda wanachemka km huyu mdogo ila wanaelewa kuongea lazima washable mfano mama I wanna kojoa au mamiii am kunya hahahaaa

      Delete
  4. Aahahahahaa haya bwana hongera zao...nawapendaje wanao!!!


    Mdau-Musoma

    ReplyDelete