Pages

Ads 468x60px

Wednesday, January 30, 2013

BEFORE& AFTER

Kuna wakati huwa najichunguza sana sana, nakujitathimini ili niweze kujitambua mimi ni nani,nipo kwa ajiri ya nini, na nani nataka niwe............ kuna kitu bado sijajitambua na sijielewi na  wala sitaki kujitambua kwa hili kwa maana halina faida kwangu. Ninapopita katika jaribu fulani, maumivu yake huwa nayapata kwa kiwango ambacho huwa najisemea haya maumivu hayawezi sahaulika ..........lakini jaribu likisha isha nimesahau kabisa............. namshukuru Mungu sana sana kwa hili, maana najiuliza hivi kama ningekuwa na yabeba  uuuuuwiiiiii!!!!! sijui km leo ningekuwepo duniani.....................nimemuhurumia sana my mumy jamani  mpaka nimelia....... amenibebea mizigo yangu miiiingi na kwa miaka mingi ambayo mimi  mwenyewe siikumbuki kabisa..................laana na mikosi iliyozungumzwa juu yangu  na watu fulani ananishangaa kwa nini sasa nimekuwakaribu nao kwa namna fulani fulani ambayo haikutakiwa.....( huyo ni mama simlaumu....wanasema uchungu wa mwana aujuaye mzazi) lakini nimejifunza kitu hapa kama ningekuwa nayabeba maisha yangu yasingelikuwa hivi na ahimidiwe Huyu Mungu aliyeniwezesha niwe hivi..... kwa hali yakibinadamu ukikumbushwa neno moja tuu ulilotamkiwa  duuuuuuu!!!!! ni neema ya Mungu hata kumuangalia Muhusika au hata kusaidiana kwa mazingira fulani lakini mimi ni nani hata nisisamehe??????? itanisaidia nini??????zaidi yakuniongezea vidonda vya tupo na kukosa amani.nimemwambia my mumy hebu angalia ile laana iliyozungumzwa na maisha yangu, then angalia muhusika  aliyezungumza na maisha yake, huna sababu yakuyabeba bali kumshukuru Mungu wangu ambaye hajawahi lala wala kusizia kwa ajiri ya maisha ya mwanao..........

EE MUNGU WANGU ULIENITAMBUA TANGU NIKO TUMBONI MWA MAMA YANGU,AMA KWA HAKIKA NIMEUONA MKONO WAKO SI KWAMBA MIMI NI ZAIDI KULIKO WENGINE BALI NI UPENDO NA NEEMA YAKO KWANGU............... NAJITIA MOYO KWA MAANA UMESEMA HUTANIACHA WALA KUNIPUNGUKIA, JESHI LIJAPO PIGANA NAMI MOYO WANGU HAUTAOGOPA.....................

MOJA YA SAFARI ZANGU AMBAZO NIMEMSHANGAA MUNGU KWA AJIRI YA UKUU WAKE........

huuuureeeeeeee!!!!!
nikurudishie nini Bwana kwa wema na fadhili zako????????

Angalizo

watu km hao wasamehe but try as much as you can to stay away from them........ huo ni mtazamo wangu jamani nahisi am good kwa hilo aisee, we cant change people's behaviour..... hata biblia inatuambua kuna watu wameumbiwa hivyo....wanatumika haswa na wako kazini angalia usije ukamkosesha mwenzio mlo kwakumlazimisha aache kazi kwi! kwi! kwi! ila km usha mjua muombee kimya kimya km ni mmoja wa kubadilika bwana atafanya kwa wakati wake.........ila wewe ili ujiondoe na makwazo yasio yalazima just be nice to them thats it!!!ukaribu karibu usio naulazima potezea........these people ni nouma aiseee!!!!!!hata neno la Mungu linasema tuikimbie dhambi........



8 comments:

  1. Mmh!bonge la speech. Bai ze wei,
    Sasa mama wawili vp kuhusu ile ndoto yako mbona kmy sasa?

    ReplyDelete
  2. ze ndoto didnt turn up good as i wished muke ya Musukuma........am a bit worry to publish i might dissapoint some people kwi kwi kwi kwi!! what doesnt kill make you strong.......muke wa musukuma nilikuonjesha tuuu ukaona bora ukaalimu hahahaaaa kweli babu yako kafanya kazi lakini anachelewesha tuuu ataachia mwenyewe joke!

    ReplyDelete
  3. Ahsante mama wawili umenena ukweli mtupu japo mimi hayajawahi kunikuta! Sinaga muda wa kusikiliza ya watu sana nadhani hiyo imenisaidia kuishi bila ugomvi au umbeya mbeya uso kuwa na maana.

    Nimependa hizo picha sana hasa uliyopo na watoto wenu.
    Mpe hi mama, jamani nimeona aus kuna mafuriko ni mbali na huko kwenu?

    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete
    Replies
    1. Yako pande za hukoooooo hata mimi sikujui nasikia tuu nakuangalia kideo

      Delete
    2. This comment has been removed by the author.

      Delete
  4. Hahahahahahahahahahahaha we mwanamke unamaneno weye bt its true What's doesn't kill u makes u stronger

    ReplyDelete
  5. Hureeeeee mama wa2 tena ni vyema kumwombea adui yako aishi miaka mingi aone mafanikio yako...maana kila laana inenwayo juu yako itageuka baraka,na Mungu atakubariki wewe na vizazi vyako vyote!

    ReplyDelete
  6. My chiwinnie..............mimi penda sana ninapojua humu ndani nina makamanda wa Yesu no matter what they will hang to the Lord...........love u sana my wadau tusonge mbele

    ReplyDelete