Pages

Ads 468x60px

Thursday, January 17, 2013

NIMEKUWA MDOGOOOOOO!!!!!

mama wawili leo siku  sio yenyewe duuuu yaani imenigomeajee kila nikipotezea maumivu yake ni nourmaaa.......... sorry kwa Baba wawili anajitahidi sana kuniliwadha  mmmh!!! wanangu wamejua kabisa leo sio............ anyway yote ni mitihani ya maisha hakuna mteremko, milima na mabonde nikawaida sana labda uwe hujauumbwa.............. Ninachojitia moyo ni kwamba Mungu wangu yupo kazini hata iweje  muda na saa ya ushindi i karibu...............

"jaribu ni kawaida ya mwanadamu lakini bwana hawezi kukuacha"

nijapo pita kati ya bonde la uvuli wa mauti kamwe sitaogopa mabaya...........nipe macho nione Mungu wangu, fungua ufahamu wangu nikuone Bwana...........nakungoja, bado nakungojaa, 
Bwana ni Nuru ya maisha yangu nimuhofu nani???? majaribu humwinua mtu katika  kiwango cha imani........
love you my people............... 


5 comments:

  1. Majaribu ni mtaji wa kuongeza imani...mmh c maneno yangu hayo nimenukuu tu...

    ReplyDelete
  2. Oooyee life goes watu wangu wanasema komandoo hafi ila mateso mpaka kieleweke......

    ReplyDelete
  3. Majaribu tumeumbiwa wanadamu, so usiogope wala usikate tamaa mama wawili.


    Mdau wa Musoma

    ReplyDelete
  4. Dhahabu lzma ipite kwenye motoooo......Bahati Bukuku..

    ReplyDelete