Pages

Ads 468x60px

Tuesday, January 8, 2013

HAPPY ME


Mama wawili anafurahaje??????? hata nguvu ya kublogua kwishenea........... someone so important in my life is coming for six months!!!!! aaaawwwwww!!!! ntadekaje?? ntaringaje mie????? ntambebaje???? this person is ..............
umbea.com km nakuona chiwn,mdau uk,muke ya msukuma, mdau musoma, mama v, na wengineo maana mnavyokuwa na shauku km mie dada yenu hahahaaaaaaa!!! anyway  mvumilivu hula mbivu soon mtamjua......

Hey!hey !very  soon am going to release my dream simnaikumbuka ilikuwa pending???? wakati umefika wakujua what was all about................. tutatiana moyo, tufarijiane,tuinuane ili twende sawa  na tusonge kwa pamoja.......


HAKUNA LISILOWEZEKANA KWA MUNGU WETU ALIE HAI........


4 comments:

  1. Jamani mama wawili unanirushaje roho mwenziooo!!!Lols haya bana ngoja nivute subira...


    Mdau-Musoma

    ReplyDelete
  2. Mmmh mambo gan hayo mama wa2 jaman em mtaje bana mana apa umbea umenishkaje ad napiga chafya kwa hamu ya kumjua huyo mtu lol....au mamito anakujaaaaaa???

    ReplyDelete
  3. Mmmmh embu tuambie hiyo dream kwanza mana umenigandisha sana then mi nishamjua anayekuja ni mama

    ReplyDelete
  4. Am waiting kwa bashasha kibao,

    Verostima

    ReplyDelete