Pages

Ads 468x60px

Friday, September 18, 2015

SIJAANZA LEO MJUE????............



Hahahahaaa leo mwenzenu nimetumiwa hizi picha yaani hata sikumbuki matukio ila dah!!! kweli amenikumbusha mengi mnoooo basi tuuu.......

 Mapicha sijaanza leo mjue???  lets flash back


bagi swags are for real kikikikiiiiiii

jamani najipendaje sasa kha!!!

3 comments:

  1. mami hapo wapi?? hahaha old is gold. kweli we ni pichaholic..

    ReplyDelete
  2. best hata sikumbuki hiyo ya juu huo msweta na mbuti wa shule ya secondary Lugalo ha!ha!ha! so nahisi niliaga home naenda discussion.... hiyo ya mlimani duu sijui nilikuwa nimefichwa wapi yaani kha!! km sio mambo ya umiseta mikoani hata sijui kikikikikiii

    ReplyDelete
  3. hahahah ukumbusho mzuri kweli!

    ReplyDelete