Pages

Ads 468x60px

Monday, September 7, 2015

NYELA KAMWENE...............

Mlindauli ndali????(in hehe land language ha!ha!ha!) Hamja nimiss kama nilivyomiss summer aisee kha!!! huku kwetu tunaimalizia baridi jamani hata nje kulikuwa hakukaliki............ nilikamiss haka ka eneo ka nyumba yangu mweee......... nimepita mitaani huko nikakutana na hivi vimito wee sikuvikawiza aiseee nimevibeba vyote ha!ha!ha! sasa hapo nimekaa tena mawazo yakubadilisha rangi za eneo la swimming pool zinanijia mwee hata bajeti haikuwepo ha!ha!ha! kisema na Baba wawili haniamini kabisa kwenye haya mambo...........nikinunua kitu nakuwa excited balaa baada ya miezi naanza kukichoka ha!ha!ha! nahisi nakapepo kakukinai kitu fasta.


hapa mtaniona sana mbona na hivyo nimepamiss nyie subiri leo sikujiandaa kipicha picha mito hiyo imeniambukiza ha!ha!ha!






hee ndo kucheka au kusmile?? ha!ha!ha!

Nawapenda

1 comments:

  1. Mlindauli ndali? ? Hahaha tuliwahi kuishi Iringa so nakumbuka sana hayo maneno

    ReplyDelete