Pages

Ads 468x60px

Wednesday, September 30, 2015

HAMICY & FATMA DAY..................


Wandugu hebu niwaonjeshe na nyie khaa!!! mwenzenu nimetumiwa na shemeji yangu hizi picha zake za big day  all the way from London(harusi imefanyikia Bongo)........... ameamua kunikomesha ha!ha!ha! maana ilikuwa tukikutana tuu kwenye maongezi or chatting zozote lazima niulize lini sasa???? maana tunangoja sana watu tunataka wake wenza ha!ha!ha!   

Ahsante kwa kunikomesha........ Kumbe ile Shemu, we tulia mambo yanaiva habari ndo hii???? Nimenyoooka ha!ha!ha! kweli huongopi Fatma mama we ni mrembo.........!!!!

Wow!!

mkalitunze hilo tabasamu wandugu na Mungu akawapiganie ya walimwengu.....

Raha sana yaani......

Achana na urembo pia ulipendeza mnoo ulijitendea haki.....

Nimependa hizo colour mix




 duu!! naona ntakuonea Londona soon mamii ha!ha!ha! 
Ahsanteni tumekoma..........Mmependeza mnooo!!

Karibuni kwenye ulimwengu wa ndoa.

1 comments:

  1. Beautiful couple na walipendeza sana aisee!! Ivi nanyie mmeshanotice?? Siku hizi bongo kama ulaya ni full kujipanga tu!!

    ReplyDelete