Pages

Ads 468x60px

Wednesday, September 16, 2015

MAMA WAWILI..............


Wiki ijayo mwenzenu ntakuwa Mama wa binti wa miaka saba ha!ha!ha! kweli miaka inaenda before you know uzee huo hahahaaa! sasa huyo birthday girl anavyonishughulisha mweee........


na ubora wangu



sijui hata nilikuwa nafanyaje hapa khaa!! ila ndo nimejisikia kupost

niko busy na birthday girl msinitafute kikikikiiii

2 comments:

  1. umependeza sana muke ya Slay kama nilivyokuambia gauni ndefu zinakutoa sana!

    ReplyDelete
  2. The dress is breathtaking!!

    ReplyDelete