Pages

Ads 468x60px

Monday, September 28, 2015

CAREEN'S 7TH BIRTHDAY PARTY..................

Wandugu mapicha ni mengi aisee ngojeni muonje tuu ila ki ukweli mwanenu siku yake kweli alienjoy............ na Mama mtu sasa akili imejiridhisha kwamba nina mtoto wa miaka saba ha!ha!ha! sijui hii miaka imekimbiaje!!!! ila kikubwa Sifa na utukufu namrudishia Mungu.

khaa!!  nimejizalia mwenyewe huyu wapenzi.........


na zawadi yake imekuwa revealed ha!ha!ha!(quad bike) mjiandae sasa mapicha yakuride around the beach maporini huko (nature)  we go mean business
roho yangu namwangalia simmalizi aisee

 mmh!! shida mnao mbona ha!ha!ha!

game room nikatoa makororo yote nikafanya ndo sehemu yao yakulia ha!ha!ha! ubunifu kipaji ....

Wawili wangu 

sweet corner nayo ilikuwepo
roho zangu yaani nilikuwa sipati view nzuri kwa kamera ila kajieneo haka kwa macho kalikuwa katamu.... mama misifa kujisifia ha!ha!ha!

princesses....
am blessed!
too cute....

kazi hizi zote wandugu ni za mikono yangu kwa usaidizi mkubwa wa Baba wawili nilifanya kuhire tu vitu ..... 
nalalamika tena kamera haikunitendea haki...... hii view kwa macho ilikuwa nzuri imeingia mpaka kule jikoni ,upande wa pili view ya swimming pool kupitia dirishani ilikuwa balaa then dirisha la upande wa pili ulikuwa unachukua view ya nje aisee palinoga mnoo.........

nilikuwa nawatoto ishirini......
haya garage yangu ya magari ndo nikadizaini uwe ukumbi wa disco..... disco disco haswa yaani mataa  yalireflect vizuri sana............(chezea kupania wewe ubunifu lazima) nilikumbuka enzi zileeee ha!ha!ha!ha!

ila sema ndo nilikuwa nakazi mara watoto wengine wako vyumbani, mara nyuma ya nyumba,mara...............yaani security mwenyewe,mtumbuizaji mwenyewe,.........,........,........, Baba wawili msaidizi ndo maana niligoma kupika nilihakikisha vinywaji vya kutosha, nika order pizza na macdonald mchezo ukaisha ha!ha!ha!

basi tena akafungua na zawadi zake ambazo alizifurahia mnooo.........

tunawapenda

4 comments:

  1. happy bday again toto. Niliiona hii mambo insta nikasema hii ngoma nitaifaidi vizuri blogini. sasa shoga mi nataka nikwambie kitu.

    Kwa maisha haya usirudi ng'oooo. mjikaliage hukohuko be. yaani hapo mara umeme ungekatika katikati ya disco. mara ingebidi uwawaishe watoto mapema foleni. Mara maji hayatoki, mara jirani kaona wivu...aaaaaahhhh bongo hapana kwa kweli. mimi jamani natafuta hata viza ya Irak. mweeee.... happy bday again beiby.

    ReplyDelete
  2. Duuu!! yaani boa viza ya kwenye mabomu (Irak???) hahahahaaa!! kweli hali tete kha!!!umetisha wangu

    ReplyDelete
  3. Wow! HappyBirthday Careen shughuli imependeza sana watoto wameinjoy wanaonekana hongera sana

    ReplyDelete
  4. HAPPY BIRTHDAY Careen sherehe ilinogo si mchezo watoto sikupatii kukimbizana na watoto sasa huko ndani mwingine kafungua,

    mwenye viza ya irak nimecheka mpaka basi unabalaa wewe ha ha ha ha.

    all in all mungu akupe maisha marefu uendelee kumkuza careen na mwenzie ,

    ReplyDelete