Pages

Ads 468x60px

Wednesday, September 9, 2015

LA FAMILIA (LATE POST)

Wapendwa kwema??  weekend iliyopita huku kwetu iikuwa Father's day........   onjeni basi



ka upili kangu mapozi yake yamenishinda ha!ha!ha!  Unywele sasa ha!ha!ha! no chemical  lakini unywele umekubali.

 kukua ndo kamekuwa nyeee........ siku hazigandi!!!jina la Bwana libarikiwe

Father's day tulianzia kanisani...........



tukamalizia Dinner



La familia


nani hawa eti????

Tunawapenda

No comments:

Post a Comment